Mc Kalinga ni miongoni mwa ma Mc's wachache katika nchi hii wenye uwezo wa kuendesha aina mbalimbali za sherehe. Pichani mc Kalinga akiendesha ratiba ya sherehe ya makabidhiano ya meli ya abiria na mizigo jijini mwanza. Sherehe hiyo iliandaliwa maalum kwa ajili ya kujipongeza kwa ushindi walioupata mahakamani na mmiliki wa meli hiyo.
Aliquam molestie ligula vitae nunc lobortis dictum varius tellus porttitor. Suspendisse vehicula diam a ligula malesuada a pellentesque turpis facilisis. Vestibulum a urna elit. Nulla bibendum dolor suscipit tortor euismod eu laoreet odio facilisis.
Kama una maoni ,ushauri na mchango wowote kuhusiana na blog hii au shughuli zinazofanywa na Mc Kalinga Enterinment Company tafadhali usisite kuwasiliana nasi .
0 comments: