Mc Kalinga akiwa na mkurugenzi wa TANAPA nchini, muheshimiwa huyu alikuwa akitoa pongezi kwa kazi nzuri nzuri iliyofanywa na Mc Kalinga katika sherehe iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
read more →
Mc Kalinga Ent. Cmpany ndio kampuni pekee iliyochaguliwa kutoa huduma za maandalizi ya sherehe za ufunguzi wa huduma za safari za shirika la ndege la Uturuki nchni.
read more →
Kwa tamaduni za makabira mengi ya kanda ya kaskazini ni jambo la muhimu sana kuwa na kipengere cha ndafu kwenye sherehe ya harusi. Katika kuliona hilo mc kalikga ent. cmpny nao wamejikita katika shughuli za utengenezaji wa ndafu.
read more →
Maharusi wakitoa salamu kwa ndugu jamaa na marafiki wakati wa sherehe ya ndoa yaoiliyofanyika jijini Arusha chini ya usimamizi wa Mc kalinga ent. company.
read more →
Siku zote utamu wa harusi anaujua bi. harusi na bwana harusi, hebu wacheki maharusi hawa walivyopendeza mara tu baada ya kutoka kanisani. Sherehe ya ndoa hiyo ilifanyikia katika jengo la ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC jijini Arusha. Tutafute tutakufikia kokote ulipo nchini ili kuburudika nawe!!
read more →
Mc Kalinga akiwa na rafiki wake wa karibu kijana Twilumba Local Jr. kama mwenyewe anavyojiita. Vijana hawa wamekuwa wakishirikiana bega kwa bega katika kupeana mawazo na ushauri juu ya shughuli mbalimbali za kijamii.
read more →
Mc Kalinga akiwa na mama watoto wake, Mc kalinga ni mfano kwa wanandoa sababu amedumu kwenye ndoa miaka minne sasa, ndio maana ana mengi ya kuwaeleza wanandoa pale anapoongoza sherehe. Kwa hiyo kama unataka ndoa yako iwe yenye furaha usisite kumtafuta wakati wa sherehe yako.
read more →