PONGEZI

Mc Kalinga akiwa na mkurugenzi wa TANAPA nchini, muheshimiwa huyu alikuwa akitoa pongezi kwa kazi nzuri nzuri iliyofanywa na Mc Kalinga katika sherehe iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

0 comments:

TURKISH INTERNATIONAL

Mc Kalinga Ent. Cmpany ndio kampuni pekee iliyochaguliwa kutoa huduma za maandalizi ya sherehe za ufunguzi wa huduma za safari za shirika la ndege la Uturuki nchni.

0 comments:

MAMBO YA NDAFU

Kwa tamaduni za makabira mengi ya kanda ya kaskazini ni jambo la muhimu sana kuwa na kipengere cha ndafu kwenye sherehe ya harusi. Katika kuliona hilo mc kalikga ent. cmpny nao wamejikita katika shughuli za utengenezaji wa ndafu.

0 comments:

SALAMU

Maharusi wakitoa salamu kwa ndugu jamaa na marafiki wakati wa sherehe ya ndoa yaoiliyofanyika jijini Arusha chini ya usimamizi wa Mc kalinga ent. company.

0 comments:

UTAMU WA NDOA

Siku zote utamu wa harusi anaujua bi. harusi na bwana harusi, hebu wacheki maharusi hawa walivyopendeza mara tu baada ya kutoka kanisani. Sherehe ya ndoa hiyo ilifanyikia katika jengo la ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC jijini Arusha. Tutafute tutakufikia kokote ulipo nchini ili kuburudika nawe!!

0 comments:

VIJANA

Mc Kalinga akiwa na rafiki wake wa karibu kijana Twilumba Local Jr. kama mwenyewe anavyojiita. Vijana hawa wamekuwa wakishirikiana bega kwa bega katika kupeana mawazo na ushauri juu ya shughuli mbalimbali za kijamii.

0 comments:

MFANO

Mc Kalinga akiwa na mama watoto wake, Mc kalinga ni mfano kwa wanandoa sababu amedumu kwenye ndoa miaka minne sasa, ndio maana ana mengi ya kuwaeleza wanandoa pale anapoongoza sherehe. Kwa hiyo kama unataka ndoa yako iwe yenye furaha usisite kumtafuta wakati wa sherehe yako.

0 comments:

MC KALINGA

Mc Kalinga akiwa kazini, huyo ndiye mkurugenzi wa kampuni ya Mc kalinga ent. company. Akiwa kama mkurugenzi pia hutoa ushirikiano bega kwa bega na wafanyakazi wenzake wa kampuni yetu. Ni mc mwenye uwezo wa ajabu wa kuendesha aina zote za sherehe.

0 comments:

PONGEZI

Mc Kalinga ni miongoni mwa ma Mc's wachache katika nchi hii wenye uwezo wa kuendesha aina mbalimbali za sherehe. Pichani mc Kalinga akiendesha ratiba ya sherehe ya makabidhiano ya meli ya abiria na mizigo jijini mwanza. Sherehe hiyo iliandaliwa maalum kwa ajili ya kujipongeza kwa ushindi walioupata mahakamani na mmiliki wa meli hiyo.

0 comments:

NENO

Miongoni mwa vitu muhimu sana kwa Mc ni kuwa na uwezo mkubwa wa kuwapa neno la ndoa maharusi, pichani Mc kalinga akijaribu kuwapa neno maharusi hawa waliopendeza kwenye ndoa iliyofanyika mitaa Sinza jijini Dar es Salaam.

0 comments:

KEKI

Katika sherehe nyingi siku hizi keki imekuwa ni sehemu muhimu sana ya sherehe, hapo zamani mara nyingi
keki zilikuwa zitumika kwenye sherehe za birthday na ndoa lakini siku hizi kila sherehe
imekuwa nakipengere cha kulishana keki kama alama ya kuonyesha upendo. Sasa swali linakuja je, unamaandalizi mazuri
ya hiyo keki imvutie kila mtu ukumbini. Kalinga ent. compny tupo vizuri kwenye maandalizi ya keki
za aina zote.

0 comments: